Suluhisho Kamili la Kusimamia Mgahawa

Rekodi Mauzo, Manunuzi, Mapishi, Orodha ya Vyakula, wafanyakazi na wateja wote kwa mfumo mmoja wa kisasa wa kidijitali.

Simamia Mgahawa Wako kwa Ufanisi

order management

Boresha Usimamizi wa Oda

Usikose oda tena. Oda zote za wateja wako, iwe za kula ndani au kuchukua, zimepangwa vizuri na zinapatikana kirahisi.

Boresha Uhifadhi wa Meza

Boresha matumizi ya meza kwa kufuatilia uhifadhi na meza kwa wakati halisi. Punguza muda wa kusubiri na hakikisha meza zote zinatumika ipasavyo, kuboresha uzoefu wa wateja na kuongeza faida.

order management
order management

Usimamizi Rahisi wa Menyu

Ongeza, Badilisha, au ondolea vitu kwenye menyu yako kwa urahisi wakati wowote. Onyesha ofa maalum, sasisha bei, na hakikisha kila kitu kinasasishwa kwenye Pande zote, ili wafanyakazi na wateja wako wawe na taarifa za hivi punde.

Vipengele Vyenye Nguvu Vilivyoundwa Kukuza Ufanisi wa Uendeshaji wa Mgahawa Wako

Menyu ya QR Code

Toa oda kwa kutumia Simu yako

Lipia Oda Automatiki

Seti malipo ya Oda kwa Lipa namba Au cadi

Usimamizi wa Wafanyakazi

Pangilia ruhusa na majukumu ya wafanyakazi kulingana na vitengo vyao.

Mfumo wa Uuzaji (POS)

Imetengenezwa na Mfumo wa Kisasa wa Mauzo

Mpangilio wa Maeneo

Buni Mpangilio wa Meza za Mgahawa Wako

Tiketi za Oda za Jikoni (KOT)

Ufanisi katika Mchakato wa Oda Jikoni

Uchapishaji wa Bili na Risiti

Bili na Risiti za Haraka na Sahihi

Ripoti

Pata ripoti zote kuhusiana na Mgahawa wako.

Maoni ya Wateja Wetu

" Tulikuwa tunatumia karatasi na kalamu kusimamia oda – ilikuwa machafuko! e4resto imetupa suluhisho la kisasa linalorahisisha kila kitu. POS ni rahisi kutumia, na ripoti zake zimetusaidia sana kwenye maamuzi ya biashara. "

Jackson M.

-Meneja wa Urban Bites

" e4resto imenisaidia kuongeza ufanisi katika biashara yangu ya kahawa. Kila kitu kiko mtandaoni – hakuna tena kukosa oda au kupoteza taarifa. Naipenda sana kwa sababu inaendana na lugha yetu! "

Mariam Junior

-Mmiliki wa Jozee Café

" Nimejaribu mifumo mingi ya POS lakini e4resto ni rahisi kutumia na inatoa kila kitu ninachohitaji. Kuanzia oda, meza hadi ripoti — kila kitu kiko sawa. Pia huduma kwa wateja wao ni ya haraka na msaada mkubwa. "

Salma Michael

-Mmiliki wa Fasta Fasta Restaurant

Simple, Transparent Pricing

Get everything you need to manage your restaurant with one affordable plan.

Silver

TZS 39,000.00 Pay Monthly

TZS 450,000.00 Pay Annually

Get Started
Menu
Menu Item
Item Category
Area
Table
Reservation
KOT
Order
Customer
Staff
Payment
Report
Settings
Delivery Executive
Waiter Request
Expenses
Change Branch
Export Report
Table Reservation
Payment Gateway Integration
Theme Setting

Gold

TZS 50,000.00 Pay Monthly

TZS 590,000.00 Pay Annually

Get Started
Menu
Menu Item
Item Category
Area
Table
Reservation
KOT
Order
Customer
Staff
Payment
Report
Settings
Delivery Executive
Waiter Request
Expenses
Change Branch
Export Report
Table Reservation
Payment Gateway Integration
Theme Setting

Your questions, answered

Answers to the most frequently asked questions.

e4resto ni nini?

e4resto ni mfumo wa kisasa wa POS na usimamizi wa migahawa unaotegemea mtandao (cloud-based). Unakusaidia kusimamia mauzo, oda, bidhaa, meza, wahudumu, na ripoti zote kwa urahisi.

Ninaweza kutumia e4resto kwenye mgahawa wa aina gani?

e4resto inafaa kwa aina zote za migahawa: fast food, café, Coffee Shop, hotel, pub au Bar na Restaurant.

Je, kuna uwezo wa kuchapisha risiti au oda jikoni?

Ndiyo. e4resto inasaidia uchapishaji wa risiti kwa wateja na oda kwa jikoni (kitchen & waiter printer). Inafanya kazi na vichapishi vya kawaida vya POS yaani Thermal Printer size"88mm".

Je, mfumo huu una dashboard ya kuona ripoti?

Ndiyo. Unaweza kuona ripoti za Mauzo, Manunuzi,Oda ,Matumizi bidhaa zilizouzwa zaidi, na utendaji wa wafanyakazi—all in real time.

Je, data yangu iko salama kwenye e4resto?

Ndiyo. Tunatumia teknolojia ya kisasa ya usalama (SSL,CSRF Protection,SQL Injection Prevention,Password Hashing,XSS (Cross-Site Scripting) Protection & backups) kuhakikisha taarifa zako zinalindwa dhidi ya upotevu au udukuzi.

Je, kuna msaada wa kiufundi?

Ndiyo. Timu yetu ya e4resto iko tayari kusaidia kupitia WhatsApp, simu, au barua pepe. Msaada upo 24/7 kwa wateja wa kulipia.

Contact

e4resto

Our address

Dar es Salaam

Makumbusho Near Misuma Hotel

Phone :

+255 622 474 717
+255 763 515 672